Skip to content Skip to sidebar Skip to footer

[DOWNLOAD] "Kionjo cha Wivu" by James Kemoli Amata * Book PDF Kindle ePub Free

Kionjo cha Wivu

📘 Read Now     📥 Download


eBook details

  • Title: Kionjo cha Wivu
  • Author : James Kemoli Amata
  • Release Date : January 17, 2015
  • Genre: Religion & Spirituality,Books,
  • Pages : * pages
  • Size : 71 KB

Description

KIONJO CHA WIVU ni diwani ya mashairi ya pindu. Mifano ya mikondo mbalimbali imetolewa kwa lengo la kumchochea mtafiti na mbunifu kueleza mikondo mingine ambayo katika hali ya kawaida itamtegemea mtunzi wa mashairi.
Katika maisha ya watu kuna kupata na kukosa. Ukikosa, omba. Ukiomba, subiri.
Kila mtu ana kile alichonacho. Wivu ni mbaya. Tusiwe watu wenye wivu ili tuishi kwa amani.

James Kemoli Amata ni mwalimu mstaafu wa shule ya sekondari. Alifunza na kuwatayarisha watahiniwa wa (Christian Religious Education na) Kiswahili kwa miaka mingi. Kwa mujibu wa taaluma yake, ametunga vitabu kadha vya mashairi kikiwemo UANDISHI WA INSHA NA TUNGO NZURI, TAALUMA YA USHAIRI (akishirikiana na Kitula King’ei,), MASHAIRI RAHISI, KIONJO CHA UCHOKOZI, KIONJO CHA UNAFIKI, ….


Download Ebook "Kionjo cha Wivu" PDF ePub Kindle



Post a Comment for "[DOWNLOAD] "Kionjo cha Wivu" by James Kemoli Amata * Book PDF Kindle ePub Free"